Wengi wanaamini kimakosa kwamba Uislamu hauvumilii kuwepo kwa dini nyingine zilizopo duniani. Makala haya yanazungumzia baadhi ya misingi ambayo Mtume Muhammad mwenyewe aliiweka katika kushughulika na watu wa imani nyingine, kwa mifano ya vitendo toka enzi za uhai wake. Sehemu ya 2: Mifano zaidi kutoka kwa maisha ya Mtume ambayo inaonyesha uvumilivu wake kwa dini nyingine.