Mtume Muhammad aliwafikishia wanadamu ujumbe wa Uislamu kama rehema. Mungu ni Mwingi wa Rehema, na rehema hii inaonekana wazi katika jinsi anavyoshughulika na viumbe wake. Kusema kwamba mtu anawajibika kwa matendo ya mwingine ni kupinga uadilifu na rehema za Mungu. Tazama jinsi Yusuf Estes anavyoeleza kile Uislamu unachosema kuhusu dhambi ya asili.