Itakuwaje ikiwa mtu hawezi kufuata Uislamu kwa asilimia 100? Itakuwaje akiingia katika Uislamu lakini akaogopa kwamba anaweza kurudia tabia zake za kabla ya kuingia katika Uislamu? Maswali mengi ya aina hii hujitokeza. Tazama Yusuf Estes akijibu maswali haya katika mhadhara huu.